Friday, January 17, 2014

Rent house

Ile movie iliyokuwa ikisubiliwa kwa hamu Rent house hatimaye imeingia sokoni!  Imetolewa rasmi tarehe 6 /01/2014 . Mpenzi wa movie mpenzi wa king majuto mpenzi wa rose ndauka basi hii si ya kuikosa!! 

Friday, November 15, 2013

RENT HOUSE NEW MOVIE


Ile campuny    Kubwa na nguli ya usambazaji filam tanzania na africa STEPS ENTERTAINMENT yajiandaa kuiachia ile movie mliyo kuwa mkiulizia sana RENT HOUSE! Kwa mujibu wa steps wamesema wataiachia rasmi kipindi cha kukaribisha sikuku ya x-max ! Kuanzia tarehe 20 dec 2013  itakuwa sokoni! Kaka mkao wa kufaidi!! RENT HOUSE COOOOOMING SOOOOON!! By AMADEY FILMS

Tuesday, January 22, 2013

Jamani wabongo tukae tukijua fani ya filamu TUNACHEMSHAA,mimi nitazungumzia upande mmoja ambao labda watayarishaji hawaoni umuhimu wake lakini tafsiri yake ni sawa na kumwonyesha mtu anayelia wewe ukatafsiri kuwa anacheka........Je, hapo hatuoni upotoshaji wa 'theme' za filamu zetu?
Nazungumzia TRANSLATIONS zinazofanyika katika baadhi ya filamu zetu za kibongo....ni aibu.....sijui hakuna editing baada ya kumaliza kutayarisha hizo filamu kabla ya kuzipeleka sokoni au niwe na wasiwasi na uelewa wa LUGHA inayotumiwa hasa UWEZO WA TRANSLATORS.Jamani, TAFSIRI za filamu hizo zinavyokosewa!
Kama lengo ni kuziingiza filamu zetu kwenye soko la dunia BADO kuna KAZI KUBWA ya kufanya,tafadhalini lugha ya kiingereza ni lugha ya kimataifa,tafuteni watu wanaoweza kutafsiri filamu zenu kwa usahihi na kama hilo ni gharama,tumieni lugha yetu tu ya kiswahili JAPO nayo mnaichakachua kwa kuizidishia kuiremba na kuiwekea viimbo vya kiingereza!!!
It not too late,just pull up your stockings,you are working hard,yes, kasoro ni hiyo tu.
Achaneni na translations za 'word to word' na zile za 'kihindi'...............
KARIBU BONGO MOVIES
weka ushauri, mawazo na maoni yako kuhusu bongo movies.